Railla Odinga asusia Tarehe ya Uchaguzi iliyopangwa na Tume Nchini humo

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ametangaza kuwa hayuko tayari kushiriki marudio ya uchaguzi mkuu wa urais nchini humo endapo hakutafanyika mabadiliko kwenye Tume ya Uchaguzi .
.

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga
Bwana Odinga amesema kuwa anataka kuwepo mikakati ya kisheria na kikatiba inayohitajika, kabla ya yeye kukubali kushiriki uchaguzi huo utakaofanyika tarehe 17 Octoba mwaka huu.
Odinga anapendekeza Tume ya Uchaguzi nchini humo, ambayo imelaumiwa na mahakama ya juu kwa kuendesha uchaguzi kwa njia ambayo haiukuwa ya haki.
Jana Jumatatu Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini Kenya ilitangaza kwamba uchaguzi mpya wa urais nchini humo utafanyika tarehe 17 Oktoba.

                                                               MUST WATCH THIS
                                               

                                              

No comments

All rights are recieved.. Theme images by LonelySnailDesign. Powered by Blogger.