Haya ndiyo majina ya wachezaji 24 wa Taifa Stars waliochaguliwa kucheza na Benin 10:53 AM 0 Leo Jumanne kocha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Salum Mayanga ametangaza kikosi cha wachezaji 24 ambacho kitacheza na timu y...
Yanga yainyatia Simba SC kwa nyuma 11:41 AM 0 Klabu ya Yanga imepata ushindi wa goli 4-0 dhidi ya klabu ya Stand United kwenye uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga ikiwa ni mchezo wa mz...
Hizi ndizo salaam za Simba SC kwa Yanga SC 12:40 PM 0 Ligi kuu soka Tanzania Bara imeendelea hii leo kwa michezo sita kupigwa katika viwanja mbalimbali hapa nchini. Katika michezo hiyo t...
Kocha Mtibwa Sugar ampa jeurii Nditi 6:08 AM 0 Klabu ya Mtibwa Sugar chini ya Kocha wao mkuu Zuber Katwila “Puchetino” wana taraji kujitupa uwanjani hapo kesho siku ya Jumamosi kuwakabi...
Taifa Stars imeshindwa kujinadi mbele ya Malawi 11:07 AM 0 Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Malawi katika mechi ya kirafiki ya kalenda ya ‘FIFA’ mchezo uliyo...
Simba SC kuivaa Dodoma FC katika uwanja wa Jamhuri Dodoma 2:34 AM 0 Baada ya kuifunga Stand United ‘Chama la Wana’ na kushika usukani wa msimamo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara, Simba SC hapo kesho siku y...
Manchester United ni kiboko yao EPL 1:53 PM 0 Ligi kuu nchini Uingereza imeendelea tena hii leo kwa michezo kadhaa kupigwa huko Old Traford, Manchester United imeng’ara mbele ya Crysta...
Aguero aandika ujumbe mzito baada ya kunusurika kifo 7:47 AM 0 Mshambuliaji wa timu ya taifa Argentina na klabu ya Manchester City, Sergio Leonel “Kun” Aguero ameandika ujumbe mzito wa shukrani baada y...
Chelsea Kuivaa Manchester City 2:27 AM 0 Timu zote zinareja kwenye ligi zikiwa na nguvu baada ya kila moja kushinda kwenye mechi za Ulaya katikati ya juma Manchester City w...
Hatimae Diego Simeone aongeza mkataba Atletico Madrid 12:35 PM 0 Kocha mkuu wa klabu ya Atletico Madrid, Muargentina Diego Simeone maarufu kama ‘Cholo’ amekubali kuongeza mkataba na klabu hiyo wa miaka m...
Mechi za Azam FC vs Simba, Yanga kupigwa Chamazi 7:17 AM 0 Mechi za Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga dhidi ya Azam FC zimepelekwa Azam Complex, Chamazi ambapo ndiyo uwanja wa n...
UEFA Yagoma kuzifanyia uchunguzi Man City na PSG 7:02 AM 0 Baada ya barua kutoka Shirikisho la soka nchini Hispania (La Liga) kulitaka shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) kuzichunguza klabu za P...
‘Nilikuwa Yanga damu lakini kwa msaada huu nahamia Simba’ 4:54 AM 0 Kufuatia utamaduni uliyojiwekea Simba SC wa kufanya tamasha la klabu hiyo kila ifikapo mwanzo wa msimu safari hii timu hiyo ilifanya shughu...