TANESCO Kutekeleza agizo la Raisi-Kubomoa jengo lao DAR 10:26 AM 0 Shirika la Umeme TANESCO limetoa taarifa ya kuwatoa hofu wateja wao kuhusu agizo la Rais John Magufuli, TANESCO wamesema huduma z...
Mh. Mbowe ambana Waziri Mkuu tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu 4:10 AM 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema matukio yanayoendea nchini yakiwemo yale ya Mkuranga, Kibiti na kupigwa risasi kwa mbunge wa singida ...
Askari ampiga Mkewe Risasi na Kumuua - Mwanza 6:56 AM 0 Jeshi la Polisi linamshikilia Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia(FFU), Cosmas James anayetuhumiwa kumuua mzazi mwenzake kwa kumpiga risa...
Wananchi wanalia vyuma vimekaza – Mh. Zitto 6:25 AM 0 Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Mh.Zitto Kabwe amesema kuwa wanasikia pato la taifa linakuwa na ni...
Uchaguzi Kenya: Mahakama yashindwa kusikiliza kesi 2:32 AM 0 Mahakama ya Juu Kenya yashindwa kusikiliza kesi ya kuahirishwa kwa uchaguzi kutokana na ukosefu wa majaji wa kutosha mahakamani. Jaj...
Wahamiaji haramu 74 wakamatwa Mtwara 11:00 PM 0 Idara ya Uhamiaji imewakamata wahamiaji haramu 74 raia wa Ethiopia walioingia nchini kinyemela . . Aidha Wahamiaji 67 kati yao walikuwa...
Gazeti la Tanzania Daima lapigwa 'STOP' leo 11:20 AM 0 Serikali imelifungia gazeti la Tanzania Daima kwa siku 90 kwa madai ya kuandika habari za uongo.
Picha: Mhe. Lowassa amtembelea Mhe. Lissu Hospitali Nairobi 12:26 PM 0 Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Edward Lowassa amemtembelea kumjulia ha...
'Watanzania wakae tayari' – Mhe. Tundu Lissu 7:14 AM 0 Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia tiketi ya Chadema, Mhe. Joseph Mbilinyi amesema ameagizwa na Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu ku...
Barua za kimahaba za Obama alizomwandikia mpenzi wake zafichuliwa 10:54 AM 0 Barua za mapenzi ambazo ziliandikwa na Barrack Obama kwa mpenzi wake alipokuwa kijana zilidhihirisha wasiwasi wake kuhusu ubaguzi wa rangi...
Afisa mkuu wa tume ya uchaguzi Kenya Ezra Chiloba ajiondoa 3:30 AM 0 Afisa mkuu mtendaji wa tume ya uchaguzi nchini Kenya Ezra Chiloba anatarajiwa kuchukuwa likizo ya wiki tatu na hatoshiriki katika uchaguzi...
Mbunge Zitto atuma waraka mzito kwa Tundu.Lissu 1:37 PM 0 Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama – ACT Wazalendo , Zitto Kabwe amesema kuwa amefarijika sana kusikia sauti ya Mbunge wa Singida...
Mtoto wa Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania auawa kwa kuchomwa kisu 8:18 PM 0 Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania marehemu, Edward Moringe Sokoine, Kereto Sokoine ameauwa kwa kuchomwa kisu katika ugo...
Utajiri wa Rais Donald Trump waporomoka 1:29 PM 0 Jarida la Forbes leo limetangaza majina ya matajili 400 nchini Marekani na kwenye orodha hiyo imeonesha utajiri wa Rais wa Marekani, Donal...
Video: CCTV kamera imeondolewa sehemu aliyopigwa risasi Mh. Lissu 6:29 AM 0 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Mwenyekiti wake, Freeman Aikaeli Mbowe amesema kwa taarifa zao za kiuchunguzi zinasema...
Zitto kwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa Rais Magufuli 12:30 PM 0 Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) amesema Jumatano hii ataenda Mahakamani kupinga uteuzi wa nafasi ya Katibu wa Bunge ul...
Polisi wavamia mkutano wa Shekh Ponda 3:32 AM 0 Jeshi la Polisi nchini limevamia mkutano wa Sheikh Issa Ponda ambao ulikuwa unatakiwa kufanyika katika hoteli ya Iris, Kariakoo ji...
Mwalimu wa shule ya Sekondari ajinyonga SENGEREMA, MWANZA 4:20 AM 0 Mkuu wa Shule ya Sekondari Migukulama iliyopo Halmasahauri ya Buchosa, Benerdicto Lweikiza(45) amejinyonga hadi kufa akiwa chumbani kwake...
Rais Magufuli aombwa kubariki maandamano ya kufufua mchakato wa katiba mpya 10:50 AM 0 Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) limemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Magufuli apokee na kuyabariki maandam...