TANESCO Kutekeleza agizo la Raisi-Kubomoa jengo lao DAR
Shirika la Umeme TANESCO limetoa taarifa ya kuwatoa hofu wateja wao kuhusu agizo la Rais John Magufuli,
TANESCO wamesema huduma za umeme zitaendelea kama kawaida wakati wa utekelezwaji wa agizo kubomolewa kwa jengo la Shirika hilo lililotolewa na Rais Magufuli
Wasema ni wajibu wa kila Mtanzania kuunga mkono juhudi za Rais

No comments