New Video: Weusi – Ni Come

Wasanii kutoka kundi la Weusi wameachia audio pamoja na video ya wimbo wao mpya uitwao,’Ni Come’. Wimbo huo umetayarishwa na Luffa na video imeongozwa na director Hanscana.



No comments

All rights are recieved.. Theme images by LonelySnailDesign. Powered by Blogger.