Hatimae Diego Simeone aongeza mkataba Atletico Madrid

Kocha mkuu wa klabu ya Atletico Madrid, Muargentina Diego Simeone maarufu kama ‘Cholo’ amekubali kuongeza mkataba na klabu hiyo wa miaka miwili hadi mwaka 2020.

Diego Simeone
Diego Simeone (49) ambaye kulikuwa na tetesi za kuihama klabu hiyo kwenda kukimbilia Ligi kuu England.
Taarifa hizo zimethibitishwa na klabu hiyo kupitia kwenye mtandao wa Klabu hiyo Atletico Madrid  ambapo mkataba huo utamfanya asalie klabuni hapo hadi june 2020.

No comments

All rights are recieved.. Theme images by LonelySnailDesign. Powered by Blogger.