Chelsea Kuivaa Manchester City
Manchester City watasafiri hadi London kwa mechi yao Ligi Kuu Uingereza dhidi ya Chelsea Jumamosi jioni.
Man City wanarejea tena dimbani baada ya kushinda 2-0 Ligi ya Mabingwa dhidi ya Shakhtar Donetsk Jumanne. David Silva alitoa pasi yake ya 7 ya golikwa msimu huu baada ya kumtengenezea Kevin de Bruyne. Raheem Sterling aliingia akitokea benchi kumaliza kazi.
No comments