The Damn Tour ya Kendrick Lamar yasumbua Ulaya

kiwa ni miezi kadhaa imepita toka rapper Kendrick Lamar atangaze na afanye ziara yake katika maeneo ya Amerika Kusini na Kaskazini, rapper huyo ametangaza tena kufanya ziara katika bara la Ulaya ambapo ataambatana na James Blake.
Tour hiyo iitwayo ‘The Damn.Tour [Europe] itaanza rasmi ifikapo  mwakani mwezi Febuari 07, katika mji wa Dublin nchini Ireland na itamalizika Machi 05, nchini Ujerumani katika mji wa Berlin.

Baadhi ya miji itakayohusika katika tour hiyo.
Feb 07- Dublin
Feb 09 -Birmingham
Feb 10 – Manchester
Feb 11 -Glasgow
Feb 12 – London
Feb 13 – London
Feb 15 – Frankfurt
Feb 22 – Cologne
Feb 23 -Amsterdam
Feb 25- Paris
Feb -27 – Antwerp
Mar 01 – Copenhagen
Mar 02 – Oslo
Mar 03 – Stockholm
Mar 05 -Beli

No comments

All rights are recieved.. Theme images by LonelySnailDesign. Powered by Blogger.