Rapper kutoka kundi la Weusi, Bonta ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Beautiful’ ambayo amemshirikisha Nikki wa Pili, video imeongozwa na Lucca Swahili.
No comments