Video: Lulu alivyogeuka bibi harusi Mahakamani leo
Kesi ya Elizabeth ‘Lulu’ Michael inayomkabili ya kumuuwa muigizaji mwenzake Steven Kanumba bila kukusudia imeendelea kusikilzwa tena Jumatano hii katika Mahakama Kuu. Baada ya jana muigizaji huyo kutimua mbio mahakamani hapo akiwakimbia waandishi wa habari, leo ameamua kuja na style ya aina yake kugeuka kama bibi harusi. Tazama video hapa chini.
No comments