Baadaya kuweka rekodi ya kupata watazamaji Milioni 1 ndani ya Masaa 15, Video ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage ‘Hallelujah’ yatimiza watazamaji Milioni 2 ndani ya Siku mbili tu katika Mtandao wa Youtube.
Video hii pia imekuwa Trending Namba Moja toka Imeachiwa Rasmi na Diamond Platnumz,
No comments