Picha: WCB walivyo sheherekea private party ya Diamond Platnumz
Usiku wa kumkia leo ndiyo kilele cha kuhitimisha siku nne za kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa C.E.O wa WCB, Diamond Platnumz ambapo private party imefanyika katika hotel ya Hyatt Rency na kuhudhuriwa na mastaa kadhaa pamoja na watu wake wa karibu.
Mama yake Diamond akiwa na mwanae wakati wa kula cake
Kabla ya sherehe hiyo Diamond ametoa msaada wenye thamani ya shilingi milioni nne katika hospitali ya Amani iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo ndiyo alizaliwa miaka kadhaa iliyopita
Diamond akiwa na wageni waalikwa
Mama yake Diamond akiwa na mwanae wakati wa kula cake
No comments