T.I.D afunguka haya kuhusu kupiga picha na mwanamke Kitandani.

Baada ya maneno mengi mitandaoni kuhusu picha ya T.I.D. Na mwanamke mmoja kitandani, staa huyo wa bongo fleva ameamua kutoa maelezo juu ya picha ile na mazingira waliyokuwepo wakati inapigwa.

Kupitia  ukurasa wake wa Instagram T.I.D Anasema “Naomba Nieleweke Hivi…Namuheshimu huyu Dada na pia naheshimu Familia yake Naona Watu wengi wameamua kuonyesha Jealous zao kupitia Picha ambayo imesambaa kwenye Mitandao,Ukweli ni Kwamba tulikuwa kwenye Kipande cha Video yangu Mpya Inayokuja Soon,so pliz naomba Muheshimu Kazi na Utu wake Kwangu”.

No comments

All rights are recieved.. Theme images by LonelySnailDesign. Powered by Blogger.