Hii video mpya ya Nuh Mziwanda ‘Bao La Ushindi’ Itazame Hapa 10:32 PM 0 Msanii wa Bongo Flava, Nuh Mziwanda ameachia video ya ngoma yake ‘Bao La Ushindi’, video imeongozwa na Kwetu Studio.
Video ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage ‘Hallelujah’ yafikisha watazamaji Milioni 2 2:45 PM 0 Baadaya kuweka rekodi ya kupata watazamaji Milioni 1 ndani ya Masaa 15, Video ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage ‘Hallelujah’ yatimiza...
Manchester United ni kiboko yao EPL 1:53 PM 0 Ligi kuu nchini Uingereza imeendelea tena hii leo kwa michezo kadhaa kupigwa huko Old Traford, Manchester United imeng’ara mbele ya Crysta...
Huenda Alikiba akatoa wimbo mwingine mpya 11:44 AM 0 Msanii wa Bongo Flava, Alikiba kuenda akatoa ngoma mpya muda wowote. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma Seduce M...
Aguero aandika ujumbe mzito baada ya kunusurika kifo 7:47 AM 0 Mshambuliaji wa timu ya taifa Argentina na klabu ya Manchester City, Sergio Leonel “Kun” Aguero ameandika ujumbe mzito wa shukrani baada y...
"Nimechoshwa kusikia neno 'Watu wasiojulikana'-Waziri Mwigulu. 6:34 AM 0 Neno watu wasiojulikana limekuwa maarufu sana tangu kipindi cha mauaji ya baadhi ya viongozi katika maeneo ya Kibiti. Lakini neno hilo lil...
Chelsea Kuivaa Manchester City 2:27 AM 0 Timu zote zinareja kwenye ligi zikiwa na nguvu baada ya kila moja kushinda kwenye mechi za Ulaya katikati ya juma Manchester City w...
Picha:Zamaradi Afunga ndoa kimya kimya 2:09 AM 0 Mtangazaji wa kipindi cha Take One cha Clouds TV, Zamaradi Mketema amefunga ndoa wiki hii na kijana anayedaiwa kuwa ni mtoto wa kigogo. ...
Hatimae Diego Simeone aongeza mkataba Atletico Madrid 12:35 PM 0 Kocha mkuu wa klabu ya Atletico Madrid, Muargentina Diego Simeone maarufu kama ‘Cholo’ amekubali kuongeza mkataba na klabu hiyo wa miaka m...
Madee ajibu baada ya Chidi Benz kumuita Mnafiki 12:29 PM 0 Msanii wa muziki Bongo kutoka Tip Top Connection, Madee amechukulia poa kauli ya Chidi Benzi aliyedai kuwa msanii huyo ni mnafiki. Madee...
New Audio: Wimbo mpya wa Ben Pol ft. Chidinma -KIDUME 9:55 AM 0 Msanii wa R&B Tanzania Benard Paul a.k.a King Of R&B Africa ameachia Single yake mpya ambayo inaenda kwa Jina la #KIDUME, Akiwa kam...
Railla Odinga asusia Tarehe ya Uchaguzi iliyopangwa na Tume Nchini humo 8:05 AM 0 Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ametangaza kuwa hayuko tayari kushiriki marudio ya uchaguzi mkuu wa urais nchini humo enda...
Dayna Nyange adatishwa na nyimbo za A.Y na Fid Q 7:42 AM 0 Msanii wa Bongo Flava Dayna Nyange amedai kuwa kipindi cha nyuma muziki wa AY na Fid Q ulimpelekea kupenda muziki na atimaye kutumbikia ka...
Audio: Rama Dee aachia Single Mpya- Procotal 7:27 AM 0 Mkali wa muziki wa RnB Bongo, Rama Dee ameachia ngoma mpya ‘Protocol’, ikiwa imechukua baadhi ya mistari kutoka kwenye ngoma ya G Nako...
Mechi za Azam FC vs Simba, Yanga kupigwa Chamazi 7:17 AM 0 Mechi za Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga dhidi ya Azam FC zimepelekwa Azam Complex, Chamazi ambapo ndiyo uwanja wa n...
UEFA Yagoma kuzifanyia uchunguzi Man City na PSG 7:02 AM 0 Baada ya barua kutoka Shirikisho la soka nchini Hispania (La Liga) kulitaka shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) kuzichunguza klabu za P...
Squiggle eyebrows are the strangest beauty trends of this Year2017 6:54 AM 0 It’s been a bit of an odd year in the beauty world. We’ve seen boob-emblazoned nails, unicorn make-up and holographic hair, but there’s ...
Ripoti ya Makinikia yatolewa Bungeni Leo 6:45 AM 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kesho anatarajiwa kukabidhiwa taarifa na Spika Job Ndugai za kamati mbili zilizoundwa na Bunge katika Mkutan...
Jaguar afanya ziara jimboni kwake 6:38 AM 0 Mbunge mpya kupitia Jimbo la Starehe nchini Kenya, Charles Njagua Kanyi maarufu kama Jaguar ambaye pia ni msanii wa mziki nchini humo amea...
"Hakuna msanii asiyedaiwa"-Quick Rocker 5:21 AM 0 C.E.O wa Switch Music Group (SMG) Quick Rock ametoa ufafanuzi juu aina ya muziki unaofanywa na kundi la OMG lililopo chini ya lebo yake. ...